Mfumo kamili wa kutuma kadi za mialiko kidigital kwa mara moja, kufuatilia RSVP, na ukaguzi salama wa wageni kwa kila tukio. Kila undani tunaujali.
Tuma mialiko yako moja kwa moja kwa uhakika na haraka.
Teknolojia ya ukaguzi wa wageni kwa usalama.
Fuatilia mahudhurio kwa wakati halisi.
Pokea michango ya wageni kwa njia salama.
Fuatilia ahadi na michango ya wageni kwa urahisi.
Angalia takwimu za tukio lako papo hapo.